- Baada ya jana Martha Mlatakumtuhumu Sugu kumpora mtototoka kwa mama yake.amemuomba Spika kutoa maelezo binafsi.Kwanza anakiri mtoto ni wake,na anasema watu wazimahawazungumzii mambo ya ndoa za wenzakena anasema ni mambo binafsi.
Anasema binti yake ameishi Dartangu mwaka 2012na amekuwa akilipa laki tano kila mwezina mi 3 kwa mwaka kama karo.Anasema mzazi mwenzake amekuwaakivaa nusu uchi na
kuachasehemu za siri nje.Anasema Mlata anayejiita mlokolehawezi kutetea maovu kama hayo,na yeye hasemi kwa nini ndoa yake
ilivunjika .Anasema kile kinachodaiwa kuwakumpora mtoto ni hukumu ya mahakamana Mlata hakuwa shaidi wala hana uhakika
kama hata mtoto mwenyewe anamjua.Anasema kwa kuwa ni mambo ya faraghahata Mlata asingetaka mambo
yake na mabwana zake wa sasa yajulikane.Anasema hata mtoto hajamchukuana ameacha maswala ya kifamilia
yachukue mkondo wake.Ndugai anasema suala hili liachwemaana linaweza kumuathiri mtotokisaikolojia hata shule.Anawataka waandishi wa habari kuliacha suala hili.
MH. J. mbilinyi Sugu anatokwa na machozi kwa uchungu
SHUMAA MBAAZI: http://www.jamiiforums.com/showthread.php?t=803503...: http://www.jamiiforums.com/showthread.php?t=803503 Nautamani ule mtaa wao
Polisi washutumiwa Afrika kusini
Polisi wamekuwa wakitoa utetezi wao kuwa walikuwa wanajihami
Tume ya uchunguzi nchini Afrika kusini imetaka ufanyike uchunguzi dhidi ya Polisi kuhusu mauaji ya wafanyakazi 34 wa mgodi yaliyofanyika mwaka 2012.
Rais wa nchi hiyo, Jacob Zuma amesema uchunguzi umebaini kuwa Polisi walikuwa na mpango usiofaa kumaliza mgomo katika mgodi mgodi wa Marikana na ilikuwa makosa kuutekeleza.
Wakati wote Polisi wamekuwa wakidai kuwa walikuwa wakijihami wakati wa mgomo wa wafanyakazi waliokuwa wakidai kuongezwa kwa mishahara.
Rais Zuma ameliita tukio hilo kuwa baya na kusema kuwa halina nafasi katika Demokrasia ya nchi hiyo.
Mauaji ya Marikana yanaelezwa kuwa mabaya kutokea nchini Afrika kusini tangu baada ya kumalizika kwa ubaguzi wa rangi miaka 20 iliyopita.
Wafanyakazi wa mgodi waligoma kwa siku kadhaa,na watu 10 tayari walipoteza maisha wakiwemo watu ambao hawakuwa kwenye mgomo, walinzi wa mgodi na Polisi, kabla ya tukio la tarehe 16 Agosti