Kutoka Bungeni: Sugu anajibu tuhuma za kupora mtoto kutoka kwa mzazi mwenzake
03:37- Baada ya jana Martha Mlatakumtuhumu Sugu kumpora mtototoka kwa mama yake.amemuomba Spika kutoa maelezo binafsi.Kwanza anakiri mtoto ni wake,na anasema watu wazimahawazungumzii mambo ya ndoa za wenzakena anasema ni mambo binafsi.
Anasema binti yake ameishi Dartangu mwaka 2012na amekuwa akilipa laki tano kila mwezina mi 3 kwa mwaka kama karo.Anasema mzazi mwenzake amekuwaakivaa nusu uchi na
kuachasehemu za siri nje.Anasema Mlata anayejiita mlokolehawezi kutetea maovu kama hayo,na yeye hasemi kwa nini ndoa yake
ilivunjika .Anasema kile kinachodaiwa kuwakumpora mtoto ni hukumu ya mahakamana Mlata hakuwa shaidi wala hana uhakika
kama hata mtoto mwenyewe anamjua.Anasema kwa kuwa ni mambo ya faraghahata Mlata asingetaka mambo
yake na mabwana zake wa sasa yajulikane.Anasema hata mtoto hajamchukuana ameacha maswala ya kifamilia
yachukue mkondo wake.Ndugai anasema suala hili liachwemaana linaweza kumuathiri mtotokisaikolojia hata shule.Anawataka waandishi wa habari kuliacha suala hili.
MH. J. mbilinyi Sugu anatokwa na machozi kwa uchungu
0 comments